NITAMUOA MBINGUNI

 N<script data-ad-client="ca-pub-9501161410703142" async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js"></script>i baada ya miaka  minne katika shule ya upili ya mawazo mengi,Wycliff amemaliza kidato cha nne anafikiria kuingia chuo kikuu cha mawazo mengi lakini siku za usoni hivo ndivo alisema maanake nyumbani umasikini ulikua umewavamia kama harufu mbaya isiyotamanika.Wycliff alikua na marafiki lakini ilikua nadra sana uwapate akiwa nao, alipenda kujitenga nao alipenda sana kufikiria na kunyamaza ilikua tabia yake Wycliff anakumbukia alipokua shuleni waalimu walipenda kumuuliza kama nyumbani kuna shida ama labda malezi pale nyumbani

Comments

Popular posts from this blog

RADIO JAMBO'S PATANISHO PROGRAM REJOINS BROKEN SOUL

HOW TO MAKE MONEY WITH KIENYEJI EGGS IN KENYA